Tangazo

February 20, 2012

Rais Kikwete katika shamba lake la manyasi ya kulishia mifugo kijijini Msoga


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwako Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza. PICHA NA IKULU

No comments: