Tangazo

March 5, 2012

STUDIO MPYA YA KUSAFISHA PICHA AZAM TAKE AWAY - DAR CITY CENTRE

Studio ya kusafisha picha, mnakaribishwa kuleta kazi zenu Ofisi ipo Mtaa wa Jamhuri na Upanga hapa Azam Take Away. Studio hii inamilikiwa na Mpigapicha mkongwe nchini, Bi. Leah Samike.
                               Karibuni sana.

No comments: