Tangazo

March 5, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI MJINI MOSHI KWA ZIARA YA SIKU TATU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa furaha mara alipotua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana jioni. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokewa kwa furaha   walipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jioni hiitayari kwa ziara ya siku tatu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea taarifa ya Mkoa toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh Leonidas Gama mara tu baada ya kuwasili Ikulu ndogo mjini Moshi jioni hii. PICHA NA IKULU

No comments: