Tangazo

March 4, 2012

AJALI YA BUS LA DAR EXPRESS KABUKU TANGA

Bus la Dar Express likiwa limeanguka bondeni, baada ya kugongana na Nissan D. Cabin katika eneo Kabuku Tanga Machi 01.2012 majira ya saa 8 alasiri. Picha na Mdau wa Daily Mitikasi Blog


Abiria aliyekuwa kwenye Nissan D. Cabin akiwa hajitambui kwa majeraha kichwani, mkononi na miguuni, na hakufunga mkanda wakati ajali inatokea.


Nissan D. Cabin iliyogongana nayo dereva alitoka salama.

No comments: