Tangazo

March 4, 2012

SIOI ATEULIWA RASMI NA CCM KUGOMBEA ARUMERU MASHARIKI

Mgombea wa CCM Jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari

Sioi akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Arusha na Wilaya ya Arumeru alipopita Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam muda mfupi baada ya CCM kumtangaza kuwa mgombea wake baada ya uamuzi wa Kamati Kuu.
 

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam., ambapo alimtangaza mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki kuwa ni Sioi Sumari. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: