Tangazo

March 4, 2012

Rais Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Feb. 03.2012. (Picha na Freddy Maro).

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa pili wa SMZ Balozi Seif Iddi na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakijadili jambo muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. (picha na Freddy Maro)

No comments: