Tangazo

March 19, 2012

Waziri wa Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Mathias Chikawe azungumzia Mkutano wa Baraza la Usalama lililofanyika Geneva Uswisi.


Waziri wa  Ofisi ya Rais Utawala Bora Mathias Chikawe ( mwenye suti pichani) akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari Ofisini kwake Machi 19.2012 kuhusu Haki za Binaadamu katika nchi yetu. Baada ya kuhurudhuria mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa  Geneva –Uswiss hivi karibuni.(picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

No comments: