Tangazo

April 27, 2012

Nani kuibuka Mbabe kesho kati ya Maugo na Cheka

 Bondia Francis Cheka akipima uzito.

Bondia Mada Maugo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa Ubingwa wa IBF dhidi ya Francis Cheka (kulia) utakaofanyika katika Ukumbi wa PTA Saba Saba kesho ambapo Mshindi atajinyakulia zawadi ya gari. Picha kwa Hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com

 Mada Maugo (kulia) na Francis Cheka wakinyooshwa mikono juu na Promota wa mpambano huo.

No comments: