Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi kwa picha na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo April 16, 2012. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo April 16, 2012. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo April 16, 2012. PICHA NA IKULU |
No comments:
Post a Comment