Tangazo

May 7, 2012

Rais Mstaafu Mkapa atinga Kortini Kisutu kutoa Ushahidi Kesi ya Prof. Mahalu

 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada ya kutoa ushahidi wake katika  kesi ya uhujumu uchumi wa zaidi ya euro milioni 2, sawa na sh bilioni 3 inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, na Grace Martin.Picha na Nkoromo Daily

No comments: