Meneja wa TBL Mwanza, Richmond Robert akimkaribisha Mkurugnenzi wa Uhusiano na Sheria wa kampuni hiyo, Steve Kilindo kuzungumza na wafanyakazi na walimu wa shule hiyo. |
Mgeni rasmi Said Amanzi na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Stve Kilindo, wakiongozwa na Mkuu wa Shule kukagua miundo mbinu ya shule hiyo. |
Mgeni rasmi, Said Amanzi akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo ,mbele ni mkuu wa shule hiyo. |
No comments:
Post a Comment