Tangazo

June 1, 2012

Bondia wa Kike Lulu Kayege ajifua kuwakabiri wapinzani wake

Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala, Kondo Nassoro akimfundisha bondia chipukizi wa kike, Lulu Kayege jijini Dar jana kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika Juni 15 katika Ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni Dar es salaam.

Bondia Lulu akiwa katika pozi bondia huyo anaenolewa katika Kambi ya Ilala na Makocha wazowefu wa mchezo wa Masumbwi Nchini Habibu Kinyogoli 'Masta, Rajabu Mhamila 'Super D' na Kondo Nassoro kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya masindano mbalimbali nchini.


Bondia Lulu akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo wa masumbwi baada ya mazoezi. Picha na superdboxingcoach.blog

No comments: