Tangazo

June 28, 2012

Hali ya Dk. Ulimboka inaendelea Vizuri


Hali ya afya ya Dkt. Steven Ulimboka inaendelea vyema baada ya kushambuliwa na watu wasiofahamika usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam.
Ulimboka anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Kitengo cha mMifupa (MOI) aliko lazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) huku jopo la madaktari Bingwa wakiendelea kumnusuru.
Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog




No comments: