Tangazo

June 27, 2012

Maumivu unayohisi Ulimboka ni sawa na yale tunayohisi walalahoi mnaotutesa bila hatia

    Ni wakati wa Ulimboka kutafakari u nyeti wahuduma mahospitalini,
    si furahishwi na alicho tendewa ulimboka ila pia sifurahishwi na maamuzi ya madkari akiwemo na Ulimboka kama kinara wa mgomo,
    naamini dr ulimboka akipata nafuu anaweza hisi watanzania wanateseka kwa kiwango gani na migomo yenu,je kama wewe ungeachwa bila huduma nini ingekua hatma ya maisha yako?

    lazma tuache ushabiki kwani watu wanaangamia kwa mgomo huu, ni ajabu watu kuonesha huruma kwa ulimboka pekee ambae kimsingi hakuwahurumia wagonjwa wenye hali kama yake au mbaya zaidi ya hali alionayo sasa.

    Madkatari tafuteni njia mbadala kuwabana serikali kwani mnatuua watanzania wenzenu bila hatia

    Last edited by gimmy's; Today at 16:22.

Ujumbe Huu nimeukuta katika moja ya mitandao ya kijamii hapa nchini.

No comments: