Tangazo

June 26, 2012

Uzembe wa Madereva husababisha ongezeko Kubwa la Ajali za Barabarani hapa Nchini

Pamoja na Alama ya Kona kwenye mteremko mkali, dereva wa Bus Sumry anaonekana kukaidi na kuamua kulipita Bus jingine jambo ambalo ni hatari kwani linaweza kusababisha ajali mbaya endapo litatokea gari jingine mbele.

No comments: