KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia)
akizungumza na Balozi wa Ubelgiji hapa nchini, Koen Adam, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 25, 2013. Wapoli
kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. (Picha na Bashir
Nkoromo).
|
No comments:
Post a Comment