Tangazo

July 4, 2012

KOCHA MPYA WA YANGA, TOM SAINTFIET AWASILI JIJINI DAR

Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet akiwapungia mashabiki waliofika kumlaki baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo tayari kwa kuanza kinoa tomu hiyo. Picha/Habari Mseto Blog

No comments: