Tangazo

August 19, 2012

MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA KIJIJI CHA MATUMAINI - DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya kijiji cha matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima, Agust 18,2012. Kulia ni Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu mathias Isuja na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Daodoma, Dr. Rehema Nchimbi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja katika sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya kijiji cha Matumaini Mjini Dodoma Agust 18, 2012. Kijiji hicho kinalea yatima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: