Tangazo

August 31, 2012

'MTOTO WA MKULIMA' AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA DARASA LA TATU


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba wakati walipokutana Mkjini Mpanda Agust 30,2012.Mwalimu Kasalamimba alimfundisha Waziri Mkuu  kuanzia mwaka 1960darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: