![]() |
Waalikwa wakisali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
|
![]() |
| Kina Baba wakifuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. |
![]() |
Mashishanga, Fikiri juma wa mjini,Nape na wa mkoa petro kingu wakifuturu, futari iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
|
![]() |
Mkuu wa mkoa Moro Joel Bendera akifuturu,futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
|
![]() |
| Kina mama wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro. |
![]() |
| Nape akizungumza baada ya futari hiyo. |
![]() |
Sheik Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
|
![]() |
| Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo. |
![]() |
| Nape na mbunge wa zamani Simeindu Pawa wakisalimiana baada ya futari hiyo. |










No comments:
Post a Comment