Tangazo

August 18, 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda azindua Kampeni ya Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kampeni ya uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Agust 17,2012. Watatu kushoto ni  Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd na (kulia kwake) ni Kamishina wa Sensa, Hajati Amina Mrisho(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: