Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mchungaji Park Ock Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya International Youth Felloship (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto) kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini Dkt. Kansolele Ntevi. (Pivha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment