Tangazo

August 30, 2012

PINDA ATIA SAINI KITABU CHA MAMBOLEZO YA ASKOFU MPANDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti kwenye nyumba ya Askofu  ilioyoko makao makuu ya jimbo la Mpanda Agust 30, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: