Tangazo

August 16, 2012

Tawi la Chadema Houston Texas kufunguliwa Rasmi Jumamosi Aug. 25


Tunapenda kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Jijini Houston Texas Nchini Marekani .

Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu)
Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:PM (Jioni) — with Ally A Abubakar.

No comments: