Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni. [Picha naRamadhan Othman Ikulu.] |
No comments:
Post a Comment