Tangazo

September 10, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SABA WA WALIMU WA AFRIKA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 3 kwa walimu wa nchi za Afrika unaojadili kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji. (Tarehe 10,Septemba 2012)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wawakilishi wa walimu kutoka Kenya waliohudhuria mkutano wa saba wa ACP.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaaga walimu kutoka nchi za  Afrika wanaohudhuria mkutano wa 7  wa ACP.

No comments: