Waamuzi na wachezaji wakiingia uwanja wa Amaan kuanza mchezo ambao Bandari waliibuka washindi wa mabao 3-2.
|
| Wachezaji wa Timu za Bandari na Malindi wakiingia katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kuanza pambano. |
| Timu ya Bandari wakiomba dua. |
| Timu ya Malindi wakiomba dua. |
| Mshambuliaji Samir Khamis wa timu ya Malindi (No.8) akiwania mpira na mlinzi wa Bandari, Kassim hariri jana kwenye uwanja wa Amaan ambapo Bandari ilishinda mabao 3 - 2. |
| Mshambuliaji Amour Omar wa timu ya Bandari akiwa tayari kupiga shuti huku Samir Khamis wa Malindi (kulia) akiwa makini kumzuia. Hadi mwisho wa mchezo, Bandari 3 Malindi 2. |
| Mchezaji wa timu ya Malindi, Rajabu Rashid akipiga penalti na kuifungia timu yake bao la kwanza. Picha zote na Intellectuals Communications Limited |
No comments:
Post a Comment