Tangazo

December 4, 2014

MBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

Waziri Mkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam jana. (Picha Zote: AtuzaNkurlu-Sheria Ngowi Brand)
Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatumika  kumtengenezea suti.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti ambavyo vitatumika kutengenza baadhi ya suti zake.

No comments: