Tangazo

September 3, 2012

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Meles Zenawi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa mazishi ya kiongozi wa Ethiopia marehemu   Meles  Zenawi  yaliyofanyika leo jijini Addis Ababa.

Jeneza la aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo. (picha na Freddy Maro).

Askari wa kike akilia kwa uchungu.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya kusini wakati wa mazishi ya aliyekuwa  Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi jijini Addis Ababa jana mchana.

No comments: