Tangazo

September 11, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA MRADI WA NYUKI - BUGULULA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa ufugaji nyuki wa Bugulula wilayani Geita akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Septemba 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mradi wa ufugji nyuki wa kijiji cha Bugulula baada ya kuufungua Septemba 10, 2012. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Geita, Magalula Maglula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wanawake wa kijiji cha Bugulula baada ya kufngua mradi wa ufugaji nyuki akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Septemba 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: