Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari ya Nyang'hwale akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Septemba 9,2012. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa huo Magalula Magalula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment