Tangazo

October 1, 2012

JIUNGE NA MWALIMU WA KUNG-FU 'MASTER JUMANNE'

Na Mwandishi Wetu

MSANII Jumanne Wilsoni 'Master Jumanne' anawashauli vijana kuja kujiunga katika mazoezi anayotoa katika ukumbi wa Ilala Sheli CCM ambapo anafundisha mchezo wa Taichi Kung Fu ambayo inawasaidfia kuwalinda mbali na kuwalinda inasaidia pia kujenga mwili kwa mazoezi.

na sehemu nyingine iliyopo Ilala CCM Mchikichini 'Master Jumanne' ametoa wito kwa vijana kujitokeza kufanya mazoezi katika stail mpya alizokuja nazo toka china hivi karibuni amboyo amekuja na mbini mbalimbali za Taichi Kung-fu kwa ajili ya kufanikisha kujilinda wakati wowote kwa  watu wabaya.

Master Jumanne aliyejifunzia michezo hiyo nchini China na ni mtu wa kwanza kuingiza stail hiyo nchini kwa ajili ya kukuza vipaji vya mchezo wa Taichi Kung-fu.

Ambapo alianza kufundisha mwaka 2003 katika majeshi ya Tanzania na sasa anawafundisha Raia mbalimbali kwa ajili ya kujilinda Master Jumanne ambaye anatamba na filamu ya mapigano ijulikanayo kwa jina la Malipo ni Duniani 'Amesema kuwa filamu hiyo ametoa ili kuonesha Dunia jinsi ilivyo na malipo yake ni hapa hapa Duniani.

na sasa yupo mbioni kutoa filamu ya nipo trayari kufa inayotarajia kutoka mwishoni mwa mwezi uhu iliowashilikisha raia wa kichina ambayo ipo katika matasifa mawili ya Tanzania na China

Mpaka sasa ameshawafundisha vijana wengi wapatao 60 ambao wamepitia mafunzo kutoka kweke.

Master Jumanne kabla ya kwenda kujiendeleza zaidi na mafunzo ya mchezo huo katikla nchi mbalimbali alikuwa ajifunza nchini Zambia kabla ajaenda china kukamilisha mafunzo yake ya ufundishaji.

Ametoa wito kwa watu mbalimbali kujitokeza katika mafunzo yake kwa kuwa wengi aliowafundisha wamepata mafanikio mbalimbali kupitia kwake ikiwemo kupata ajira katika makampuni mbalimbali ya ulizi na usimamizi wa shunghuli mbali mbali za kitaifa.

KWA WANAOTAKA KUJINGA NA MAFUNZO HAYA WAWASILIANE MOJA KWA MOJA NA MASTER JUMANNE KWA SIMU NAMBA 0713938461.

No comments: