Tangazo

October 9, 2012

LIBENEKE JIPYA LA HABARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI NA MAMBO YA UTALII

Jani la ajabu.


Blogu hii inalenga kutoa habari za mazingira, maliasili na utalii, lengo kubwa ni kutoa elimu ya namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambayo yanaathari kubwa kwa maisha ya binadamu na viumbe hai, lakini pia kutangaza utalii wa ndani, na utalii wa taifa letu nje na mipaka ya taifa letu.

Blog hii pia ni fursa nzuri kwa wanavyuo, wanafunzi kujifunza kwa maana hutoa habari za sayansi ya mazingira pia.

 www.tabianchi.blogspot.com

 

No comments: