Tangazo

October 29, 2012

Waziri Mkuu Pinda awasili Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Oktoba 30, 2012. (Picha na Ofisi ya Wazieri Mkuu)

No comments: