Mkurugenzi
wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa kutoka nchini Kenyaambaye ndiye mgeni
rasmi wa mashindano ya mwaka huu ya Johnnie Walker Waitara akijiandaa kupiga kipira wakati akianza
kucheza katika mashindano hayo hii leo. Ndengwa pia ni Mlezi wa Chama cha Gofu
nchini Kenya. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia
kinywaji chake cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision
Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon (kulia) akiwa amesimama na mmoja wa
wacheza Gofu wenzake David Molel muda mfupi kabla ya kuanza kucheza gofu
katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya
Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha
Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision
Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akipiga kipira katika shimo na mba moja
wakati wa mashindano ya Golfu wenzake ya
John Walker Waitara yanayoendelea hivi
sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa
SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision
Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mcheza gofu David Molel akipiga kipira katika shimo na
mba moja wakati wa mashindano ya Golfu
wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea
hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini
wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
Jenerali Mstaafu, Mirisho Sarakikya akipiga kipira katika shimo na
mba moja wakati wa mashindano ya Gofu
wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea
hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini
wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
No comments:
Post a Comment