Tangazo

November 13, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA

Baadhi ya wanafunzi wanaosafiri kwa treni kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea Ubungo wakiwa wamepanga mabegi yao kwenye mstari huku wao wakiwa wamepumzika pembeni wakisubiri usafiri huo. Kwa utaratibu wa kawaida wa usafiri huo abiria hutakiwa kupanga foleni ili inapowasili kila abiria aingie kadri ya ulivyowahi kwenye foleni hiyo. Baadhi ya wanafunzi wanaosafiri kwa treni kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea Ubungo wakiwa wamepanga mabegi yao kwenye mstari huku wao wakiwa wamepumzika pembeni wakisubiri usafiri huo. Kwa utaratibu wa kawaida wa usafiri huo abiria hutakiwa kupanga foleni ili inapowasili kila abiria aingie kadri ya ulivyowahi kwenye foleni hiyo. 
Baadhi ya wanafunzi wanaosafiri kwa treni kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuelekea Ubungo wakiwa wamepanga mabegi yao kwenye mstari huku wao wakiwa wamepumzika pembeni wakisubiri usafiri huo. Kwa utaratibu wa kawaida wa usafiri huo abiria hutakiwa kupanga foleni ili inapowasili kila abiria aingie kadri ya ulivyowahi kwenye foleni hiyo. Na Mwandishi wa Thehabari.com

No comments: