Tangazo

November 13, 2012

MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA: WANA CCM DIASPORA WATIA FORA KIZOTA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipiga kura katika Mkutano Mkuu.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM (bara)) Phili Mangula (katikati) na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakifurahia jambo katika Mkutano Mkuu wa CCM uliomalizika  Novemba 13, kwenye ukumbiwa Kizota Mjini Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katika picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo.PICHA NA IKULU

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK,  Mariamu Mungula.PICHA NA IKULU

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU

Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU

No comments: