Tangazo

November 14, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE APATA USHINDI WA KISHINDO UENYEKITI WA CCM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti  wa CCM kwa kura  2395 kati ya 2937 zilizopigwa  ambazo ni sawa na asilimia 99.92% .

No comments: