Tangazo

January 10, 2013

Je waijua Hii kutoka Kilimanjaro?

- MOSHI        = Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo;

- ROMBO       = Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;

- HIMO           = Hata Ikipungua Mungu Ongeza;

- MARANGU   = Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie;

- MAMBA        = Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira;

- MWIKA        = Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti;

- URU               = Usitunyime Riziki na Uchumi;

- KIBOSHO     = Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza;

- MACHAME    = Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu

- KISHIMUNDU =Kwetu Ikikosekana Shilingi Mungu Nakuapia Dunia Utaichukia!

No comments: