Tangazo

January 17, 2013

Pengo kati ya Maskini na Matajiri

Pengo kati ya walionacho 'MATAJIRI' na wasiokuwanacho 'MASKINI' linazidi kuongezeka siku hadi siku huku wasiokuwanacho wanazidi kuwa wengi na wale walionacho wanazidi kuwakamua zaidi wasiokuwanacho.

Je wewe ukiwa unaumizwa na tatizo hili una ushauri gani?????????????????

No comments: