Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mad Mad Entertainment ya London nchini Uingereza, Yasmin Razak akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu programu maalum aliyoianzisha ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo kuigiza nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini.Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Superior Financing Solutions Ltd wadhamini wa programu hiyo, Isaack Kasanga na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba (wa pili kushoto), na Msanii wa Filamu na Vichekesho, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere. |
No comments:
Post a Comment