Tangazo

January 27, 2012

MASHOGA, WASAGAJI NA MACHANGUDOA KUKUTANA JIJINI DAR FEB. 25.


Mchungaji  Mitula Mkumbo kutoka Shirika la Dini la New Covenant Ministry/ Huduma ya Agano Jipya ambaye ni Mkurugenzi wa huduma, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu  maandalizi ya warsha ya siku moja itakayowashirikisha Mashoga,Wasagaji na Machangudoa itakayofanyika Februari 25,2012 kama sehemu ya shughuli zake za kuwarejesha watu waliokataliwa na waliotengwa ama kunyanyaswa katika jamii. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

2 comments:

Obat Perangsang Wanita said...

good sharing information

Obat Vimax said...

thankd for sharing