Tangazo

February 11, 2013

Bata la Skylight Band kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village-Masaki jijini Dar


Sony Masamba sambamba na kundi zima la Skylight Band wakiporomosha burudani kwa mashabiki wa Band hiyo mwishoni mwa juma kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar ambapo kila Ijumaa Band hiyo inakuwa hapo kuanzia saa 4 usiku na kuendelea.
Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga Sebene lililokuwa likiporomoshwa na kijana Sony Masamba.
Joniko Flower wa Skylight Band akitunzwa na mdau.
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Oh lord have mercy mercy mercy..Di man dem in a di party party party...Di ole a dem look sexy sexy sexy...Watch dem just a...Follow me follow me follow me....ni mwendo wa Ragga na Dance Hall time kutoka kwa Aneth Kushaba AK47.
Mary Lukas sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakikonga nyoyo za mashabiki wa SKYLIGHT BAND mwishoni mwa Juma katika kiota cha maraha cha Thai Village.

Aneth Kushaba AK 47, Joniko Flower na Mary Lukas wakionyesha umahiri wao katika kulisakata sebene.
Palikuwa hapatoshi...Umati wa mashabiki wa SKYLIGHT BAND ukiwa umefurika kwenye dancing floor.
Binti mwenye kipaji cha pekee Salma Yusuf akiwazungusha mashabiki wa SKYLIGHT BAND na mduara wa aina yake.
Pichani Juu na Chini ni wake kwa waume wakijiachia na mambo ya pwani, wa mbele aende mbele na wa nyuma arudi nyuma.
Zamaradi Mketema wa Take One ya Clouds Tv naye alikuwepo.
Salma Yusuf akiwajibika.
Wadau wakishow love na totoz.
Warembo wa Mujini na mdau King Kif.
Wema Sepetu akiwa na fans wake ndani ya kiota cha Thai Village.
Mdau Benjamin akishow love na flowers wa ukweli.
Skylight Band ikiendelea kuporomosha burudani ya aina yake.
Warembo wa mujini Wema Sepetu na Aunty Ezekiel walikuwepo kushow love na SKYLIGHT BAND.

No comments: