Tangazo

February 15, 2013

Waziri Mkuu Pinda aongoza mamia katika Mazishi ya Baba mzazi wa Waziri Ghasia

Waziri Mkuu na mkewe Tunu (katikati) wakimfariji Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Gahasia (kushoto) wakati walipohudhuria  mazishi ya baba mzazi wa Waziri huyo, marehemu Abdulrahman Ghasia katika kijiji cha Naumbu, Mtwara vijijini, Februari 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa marehemu, Abdulrahman Ghasia, Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa, Hawa Ghasia katika mazishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu, Naumbu, Mtwara Vijijini, Februari 14,2013. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la marehemu Abdulrahman Ghasia Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serilai za Mitaa, Hawa Ghasia katika mazishi yaliyofanyika kijijini kwa maremu, Naumbu, Mtwara Vijijini Februari 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: