Tangazo

February 18, 2013

Skylight Band ilivyokinukisha Valentines Day katika ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar


Kundi la Skylight Band likicheza sebene kwa style ya aina yake walipopiga show ya kukata shoka usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Maisha Club.
Rappa wa Skylight Band Sony Masamba akiongoza vijana wenzake walipokuwa wakitumbuiza siku ya wapendao kwenye show ya aina yake iliyodumu takribani saa 7 bila kupumzika kwenye ukumbi wa New Maisha Club Masaki jijini Dar.
Rappa Joniko Flower akiimba huku akishow love na familia ya Skylight Band katika usiku wa wapendanao uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club.
Mashabiki wapya wa Skylight Band wakishow love katika siku ya wapendao kwenye ukumbi wa New Maisha Club.
Wadada warembo wakijimwaga kwa raha zao kwenye ukumbi wa New Maisha Club.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye show ya Valentines Day iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar.
Bata likiendelea kulaki huku Skylight Band ikiporomosha burudani ya nguvu New Maisha Club usiku wa kuamkia leo.
Pichani Juu na Chini ni Mashabiki wakizungusha nyonga na mduara wa Salma Yusuf wa Skylight Band.
Mashabiki wa upande wa VIP wakiangalia yaliyokuwa yanajiri katika ukumbi mkubwa wa New Maisha Club.
Mwanadada alihamasika kuwatunza Skylight Band baada ya kuiona muziki mzuri wanaofanya.
Vipaji vimelala hapo... Aneth Kushaba AK47, Mary Lukas, Salma Yusuf wa Skylight Band.
Bata ndio jadi yetu....kambi popote saa yoyote....Hawa ndio Party animal wenyewe..wengine mnaiga tu.
New Fans wa Skylight Band wakishow love. Wako Single wadada kazi kwenu...!
Mtasha akishow love na wadau.
Ama kweli duniani wawili wawili.... Mdogo wake Baloteli wa Bongo huyu hapa.
Uzao wa Bongo Star Search Mary Lukas na Salma Yusuf.

No comments: