Mshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Liu Dong akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu manufaa ya ujio wa Rais wa China, hali ya mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma ya 12 la China pamoja na mkutano wa kwanza wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la awamu ya 12 la China. Pia China imeishukuru serikali ya Tanzania kwa mapokezi mazuri wakati wa ziara ya Rais mpya XI Jinping, pamoja na waandishi wa habari katika juhudi zakuendeleza uhusiano mzuri baina ya China na Tanzania. PICHA ZOTE/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO
|
No comments:
Post a Comment