Mkurugenzi wa Extra bongo Ally Choki akiimba mbele ya mashabiki wake (Hawapo Pichani) ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jumamosi Usiku wakati bendi yake ilipokuwa ikiburudisha pande pande hizo. |
Maua ya Extra Bongo mzigoni. |
Wakata nyonga maarufu kwa sasa wa Extra bongo wakiongozwa na nyamwela wakiwapagawisha mashabiki waliohudhuria shoo hiyo ndani ya Meeda Sinza. |
Waimbaji bora wa Extra bongo kulia ni Rogert Hega a.k.a Katapila wakiimba ndani ya Meeda Sinza. |
No comments:
Post a Comment