Tangazo

April 19, 2013

Ili Nidhamu irudi Bungeni: Wabunge igeni mfano huu ili tujue moja

Moja ya patashika baina ya wabunge iliyowahi kutokea katika Bunge la Italy.

Russia nako ndo wale wale...

Nchini Somali ndio kabisaaaaaa... kama huna ubavu lazima usepe...

Huko Ukraine Polisi huwa hawabembelezi kama hapa kwetu... mkileta fujo mabomu ya machozi yanapigwa hata Bungeni.

Wenzetu wa South Korea nao hawako nyumba.

Hii ilipata kutokea katika Bunge la Mexico.

Hili ni Bunge la India.



No comments: