Tangazo

April 17, 2013

KUMBUKUMBU YA KUTIMIZA MIAKA MITANO YA MAREHEMU ANTHONY NJEJE

Ni miaka mitano sasa imepita tangu tarehe 17.04.2008, ulipoenda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa Marehemu Anthony Njeje (pichani).

Hatupo nawe kimwili lakini kiroho bado upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa.

Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah. 

Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na Marafiki.

 Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana Lihimidiwe.

Amen

No comments: