Mbunifu
wa Mavazi Khadija Mwanamboka (kushoto) ambaye pia ndio Mwandaaji wa
Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme " Celebrating Tanzania Music"
wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing
akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha
Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku
uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa
kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava
Linex na Mwasiti. Pichani Bi. Khadija Mwanamboka akiwa na wageni
mbalimbali kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Designer Ally Rehmtullah ndani ya nyumba.
Blogger Missi Popular aliwakilisha kikazi zaidi.
Gyver Meena and Salma Msangi a.k.a Kimora Lee looking Gorgeous (I think these two Girls rock the night).
Mama Mia....Wow.....!
Kwa picha zaidi Bofya hapa
No comments:
Post a Comment